NINI KIFANYIKE KWENYE BLOGU HII? MAONI YAKO TAFADHALI – Heri ya Krismasi
- Mch. Gasper Madumla
- Dec 25, 2018
- 1 min read

Mch. Gasper Madumla.
Shalom mpendwa…
Natamani leo kusikia kutoka kwako kuhusu pongezi za sikukuu za Krismass na za mwaka mpya, pamoja kusikia na maoni yako,upo wapi? Na blogu hii imekusaidia vipi kipindi chote cha mwaka 2018. Una muda gani tangu uanze kujifunza ?
Je nini unapenda kifanyike?Masomo gani ulikuwa unataka yachapishwe? . Andika hapo chini au ukipenda kuniandikia moja kwa moja kuppitia WhatsApp namba ni +255 746 446 446
UBARIKIWE.
Comments