KUUNGAMA DHAMBI,MAANA YAKE NI NINI?
- Mch. Gasper Madumla
- Jul 26, 2017
- 1 min read
Bwana Yesu asifiwe…
Kwa ufipi;
Neno “kuungama” limetokana na kitendo cha “ungama”. Ungama maana yake ni kili/kubali kiingereza huitwa “to confess”. Hivyo neno kuungama dhambi ni kukili dhambi zako,neno hili ni tofauti na kutubu. Kwa maana kutubu ni kugeuka na kuamua kuacha dhambi zako.
Tunapo hitaji kusamehewa,tunahitaji kutubu na sio kuungama kwa sababu ukiungama ni vile unakiri kosa then basi,lakini unapotubu unaomba ugeuke kabisa kwa nia moja ya kuacha dhambi.
Kwa mawasiliano zaidi piga +255 683 877 900
What’s app number ni +255 746 446 446
UBARIKIWE.
Comments