JINA LA YESU.
- Mch. Gasper Madumla
- Jun 28, 2019
- 1 min read
DONDOO YA MTUMISHI EDWIN NSYANI.( mzee wa kanisa)

JINA LA YESU
Bwana Yesu asifiwe…
Kwa ufupi,
#NIMESHANGAA_SANA_KUJIFUNZA_KUWA_KUMBE_JINA_LA_YESU NI LA URITHI.NI #JINA LA #BABA_YAKE.
✅Mara nyingi Yesu alikuwa akisisitiza kwamba kazi anazofanya hazikuwa zake bali za baba yake akionyesha kuwa yupo aliyempeleka.
✅Hakuja kwa jina lake bali la baba yake.Kama yanenavyo maandiko;
Mimi nimekuja KWA JINA la BABA YANGU, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.(Yohana 5:43)
LAKINI BIBLIA INATUAMBIA LILE JINA ALIKUWA AMELIRITHI,KWA HIYO JINA LA YESU NI JINA LA BWANA KWA SABABU BWANA NDIYE MUNGU NA KWA HIYO JINA LA YESU NI JINA LA MUNGU.
4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri JINA ALILOLIRITHI lilivyo TUKUFU kuliko lao.(Waebrania 1:4)
Mungu anajifunua kwa majina kulingana na NYAKATI.
=MUNGU MWENYEZI=>NIKO AMBAYE NIKO=>JEHOVA=>YESU NDILO JINA TULILOPEWA SASA LITUPASALO KUOKOLEWA KWALO.
Na Edwin Nsyani. 0686 274 017 What’s app +255 746 446 446
UBARIKIWE.
Comments