Hivi naomba niulize swali kwamba,Kwa nini hata ndoa za wakristo hazijatulia,yaani kuna usumbufu mkubwa? Nini chanzo chake hasa?
Lakini pili,tunashuhudia mara nyingi ndoa zetu waliookoka zinavunjika Kila kukicha!!! na kibaya zaidi walioachana wanaoa au kuolewa tena? Ina maana inawezekana kuoa au kuolewa tena ???