Hivi unajua kuna utamu fulani usioweza kuelezeka upatikanao katika ndoa ukimpata yule wa kwako hasa. Asikwambie mtu ndoa tamu.
Kuna mambo ya maisha huwezi kufanya wewe peke yako Bali unahitaji ubavu wako mke/mume. Mfano suala la uzazi unahitaji mtu wa kuishi naye na mzae watoto.
Lakini sio tu uzazi,Bali Kila kitu unahitaji mpenzi akupendaye mwishi maisha ya pamoja. Safari ya mapenzi na mahaba katika ndoa ni tamu kuliko!