SEMINA YA NENO LA MUNGU.
- Mch. Gasper Madumla
- Mar 6, 2015
- 1 min read
Bwana Yesu asifiwe…
Soma hapa,na umwambie na mwenzako,kisha twende zetu tukahubiri injili kwa kila kiumbe maana ndio kazi iliyobakia. Kazi hiyo ndio tuliyopewa maana hakuna kazi nzuri zaidi ya hiyo.

Kwa mawasaliano yangu;
Mch. Gasper Madumla.
Beroya Bible fellowship church. (Kimara)
0655 11 11 49.
S.L.P 70355,Dar es salaam.
Comments