SEMINA HII INAKUHUSU MPENDWA.
- Mch. Gasper Madumla
- Apr 29, 2015
- 1 min read

Mualike na mwingine mje na mjee,hii sio ya kukosa kabisa!Sababu tunakwenda kufundishwa namna ya kumiliki vizuri uchumi wa mkristo lakini pia tutajifunza habari ya kuziponya roho zetu.
Karibu mpendwa,Kwa mawasiliano tafadhali piga
0655111149,.
Kwa mawasiliano ya email: gmadumla@gmail.com
UBARIKIWE.
Коментари