MKUTANO MKUBWA WA INJILI -RUNGWE,MBEYA
- Mch. Gasper Madumla
- Mar 13, 2015
- 1 min read
Bwana Yesu asifiwe…
Haya sasa!,

Nikiwa na timu ya maombi ya mkutano wa injili Tanga (Mtumishi Gasper Madumla wa kati kati)
Wakazi wa mkoa wa Mbeya,Rungwe mjiandae na mkutano mkuu wa injili katika siku zote za Pasaka 2015.Injili ya Bwana itahubiriwa,waimbaji kibao wa nyimbo za injili watakuwepo! Wainjilisti na wachungaji tutaambatana.Hakika Bwana atatuhudumia sote.
Mungu ameachilia neema ya ajabu katika mkoa wa Mbeya katika Pasaka hii 2015.
Rungwe,Rungweee ni kwa Yesu,..
Mbeya yote ni kwa Yesu..
Kwa habari kamili nitaendelea kukujuza mahali hapa hapa,pia kwa wakazi wa Dar. waendelee kusikiliza radio ya WAPO FM (98.01) matangazo yatakuwa yakirushwa.
Haleluya….
Ni hayo tu.
0655-111 11 49 ni namba yangu hii,nipigie kwa mawasiliano zaidi.
UBARIKIWE.
Commenti